Get all 11 Mad Ice releases available on Bandcamp and save 10%.
Includes unlimited streaming via the free Bandcamp app, plus high-quality downloads of Kidogo, Sina, Nibebe (feat. G.Nako), Delilah, Everything I Do, Faith, Wasiwasi, Oh Maria, and 3 more.
1. |
Maisha
04:33
|
|
||
Mad Ice - Maisha[Lyrics]
Intro
Na amka asubuhi
Kwenda tafuta mali
Natembea kwa mguu sababu pesa sina
Ndiyo maisha
Hayo ndiyo maisha
Wengi wananicheka
Eti maisha yamenikuta
Usinicheke mie leo kwangu kesho kwako
Ndivyo yalivyo maisha
............. ndivyo yalivyo
Oooooooh oh oooh
Oooooooh oh oooh
Oooooooh oooh ooooh ooooh
Maisha... maisha x2
Nguo ninayo moja
Kauka nikuvae hilo jina nimeishapewa
Hiyo kazi ya kubabaisha
Sibaguwi sichaguwi ili mradi nipate ya kula
sibaguwi sichaguwi....iye iye ooh
Oooooooh oh oooh
Oooooooh oh oooh
Oooooooh oooh ooooh ooooh
Maisha... maisha x2
--------Flute ------
------jam-------
Iyeooh yeyeyeye
Maisha maisha
Iyee yeye
Sitokata tamaa
Najua nitafika x2
Oooooooh oh oooh
Oooooooh oh oooh
Oooooooh oooh ooooh ooooh....... Maisha..
END!!
|
||||
2. |
Te Amo
04:05
|
|
||
TE AMO – MAD ICE [LYRICS]
Moyo wangu uko kwako wee
Mawazo yote yako kwako wee
Kila ninalolifanya nakuweza wee
Na kila ninapokwenda nakuwaza wee
Ndiyo maana nasema .... aah
Te Amo, Je t'aime, Nakupenada x2
-[duuaah shubidabaduuaahx2]
I cannot explain how I feel for you
Everyday that goes by I go more crazy for you
I don't wanna spend a minute without you by my side
My love for you will never fade away .... aah
Te Amo, Je t'aime, Nakupenda x2
Haya nnayosema...
Ni 'toka moyoni
Haya nnayokwambia...
Ni 'toka moyoni mwangu
Aaaah
Te Amo , Je t'aime, Nakupenda x4
Moyo wangu.... uko kwako..... wee
|
||||
3. |
Mapenzi Sumu
04:02
|
|
||
Mad Ice – Mapenzi sumu[Lyrics]
Intro:
Nananaaanah, Nananaaanah
Nananaaanah, Nananaaanah
V1.
Usinione kimya kimya wee
ukadhani sina akali wewe
vituko vyako dada wee
Vinanifanya nikonde mie
Simu ikipigwa unaenda pokelea bafuni
Nikikuuliza ninani hata jibu sipewi
Hapo ukitoka kurudi usiku wa manane.... Oooh
Chorus:
Lakini leo inabidi niseme ukweli
Kama nimapenzi yamekuwa mkuki moyoni
V2.
Nimevumilia sana wee
Kwa kudhani utabadili ... aah
Nilikuamini sana mama wee
Sikudhani utanitenda hivi
Kama kukupenda nilipenda kuzidi kipimo
Bila kujali maneno watu wasemayo
Lakini hayo yote kwako hayana uzito.... mamaa
Chorus:
Lakini leo inabidi niseme ukweli
Kama nimapenzi yamekuwa kitanzi shingoni... Aya ya ya aah
Nananaaanah, Nananaaanah
Nananaaanah, Nananaaanaah
---Solo--
Ooh mapenzi sumu weeeh
Haya mapenzi sumu sumu sumu..
Usinione kimya kimya wee
Ukadhani sina akili wewe ...Oooh
Lakini leo inabidi niseme ukweli... ukweli eeh
Kama nimapenzi yamekuwa mkuki moyoni... moyoni wewe
Lakini leo inabidi niseme ukweli... ukweli wewe
Kama nimapenzi yamekuwa kitanzi shingoni... Aya ya ya aah
Nananaaanah, Nananaaanah
Nananaaanah, Nananaaa...naaah
End!!
|
||||
4. |
Nisikilize
04:49
|
|
||
Mad Ice – Nisikilize[Lyrics]
Ooh Iyee eeh x2
Nisikilize nisemayo mtoto
Haya nnayosema ni muhimu kwako
Hii dunia ina yake mengi
Wanadamu nawo wanayao mengi ...iyeeh
Utakuja juta
Wakati mimi sipo duniani
Haya nnayosema
Ni muhimu kwako maishani
Ooh ooh
Ooh ooh
Nisikilize nisemayo mtoto... Nisikilize
Aacha kujifanya kichwa ngumu..... Kichwa ngumu wee eeh
Hii dunia sio uionavyo .... Sio sio sio
Angalia wewe...
Utakuja juta
Wakati mimi sipo duniani
Haya nnayosema
Ni muhimu kwako maishani
----Piano Solo-----
Utakuja juta
Wakati mimi sipo duniani
Haya nnayosema
Ni muhimu kwako maishani x2
END!!
|
||||
5. |
Sogea
04:01
|
|
||
Mad Ice – Sogea[Lyrics]
Huuuuuhhhhhh
Huuuuuhhhhhh eeeh
Sikiliza haya ninayosema
Nimachache tu ili nimuhimu
Sina pesa wala gari
Nachojua tu nina upendo wakweli
Hao wenye pesa watakudanganya
Watakupa mali watakupeleka eeh hapa na pale
Wanachotaka ni kukuchezea
Ila mwisho tu kwao hauna thamani
Oooh uuooh
Sogea sogea
Uuooh Sogea sogea
Uuooh Sogea sogea
Uuooh Sogea kwangu songea
Maswali mengi unajiuliza
Watakuonaje namimi fukara
Kweli mimi sina pesa wala gari
Nachojua tu nina upendo wakweli
Wengi wenye pesa watakudanganya
Watakupa mali watakupeleka eeh hapa na pale
Wanachotaka ni kukuchezea
Ila mwisho tu kwao hauna thamani
Oooh uuooh
Sogea sogea
Uuooh Sogea mami sogea
Uuooh Sogea sogea
Uuooh Sogea kwangu songea
----Whistle-----
END!!
|
Mad Ice Finland
Ahmed Kakoyi known by his stage name ‘Mad Ice’ is a dynamic, well versed, self-taught singer-songwriter who crosses all genres with his music.
Streaming and Download help
If you like Mad Ice, you may also like:
Bandcamp Daily your guide to the world of Bandcamp