lyrics
Mad Ice – Mapenzi sumu[Lyrics]
Intro:
Nananaaanah, Nananaaanah
Nananaaanah, Nananaaanah
V1.
Usinione kimya kimya wee
ukadhani sina akali wewe
vituko vyako dada wee
Vinanifanya nikonde mie
Simu ikipigwa unaenda pokelea bafuni
Nikikuuliza ninani hata jibu sipewi
Hapo ukitoka kurudi usiku wa manane.... Oooh
Chorus:
Lakini leo inabidi niseme ukweli
Kama nimapenzi yamekuwa mkuki moyoni
V2.
Nimevumilia sana wee
Kwa kudhani utabadili ... aah
Nilikuamini sana mama wee
Sikudhani utanitenda hivi
Kama kukupenda nilipenda kuzidi kipimo
Bila kujali maneno watu wasemayo
Lakini hayo yote kwako hayana uzito.... mamaa
Chorus:
Lakini leo inabidi niseme ukweli
Kama nimapenzi yamekuwa kitanzi shingoni... Aya ya ya aah
Nananaaanah, Nananaaanah
Nananaaanah, Nananaaanaah
---Solo--
Ooh mapenzi sumu weeeh
Haya mapenzi sumu sumu sumu..
Usinione kimya kimya wee
Ukadhani sina akili wewe ...Oooh
Lakini leo inabidi niseme ukweli... ukweli eeh
Kama nimapenzi yamekuwa mkuki moyoni... moyoni wewe
Lakini leo inabidi niseme ukweli... ukweli wewe
Kama nimapenzi yamekuwa kitanzi shingoni... Aya ya ya aah
Nananaaanah, Nananaaanah
Nananaaanah, Nananaaa...naaah
End!!
credits
license
All rights reserved
feed

Feeds for ,